Word |
# |
Sentence |
ya |
10 |
Rekodi yake ya dunia ya vijana ya dakika 26:41.75 ilikuwa nzuri sana kumpa nafasi ya tatu katika mbio hizo nyuma ya rekodi ya dunia ya Kenenisa Bekele ya dakika 26:17.53 na ya Boniface Kiprop ya dakika 26:39.77. |
wa |
10 |
7 Oktoba 1952 ) alikuwa Rais wa pili wa Shirikisho la Urusi na Waziri Mkuu wa sasa wa Urusi, vilevile mwenyekiti wa chama cha kisiasa Muungano wa Urusi na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Urusi wa Belarus. |
ya |
9 |
Sehemu kubwa ya vipengele vyake imeingia katika mapatano ya kimataifa juu ya haki za kiraia na kisiasa ya 1966 na mapatano ya kimataifa juu ya haki za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni ya 1976 na zimekuwa sehemu ya sheria ya kimataifa kwa njia hiyo. |
ya |
8 |
ABI inadai kuwa kupunguza kwa udhaifu dhidi ya baadhi ya madhara ya mabadiliko ya hali ya anga, kwa mfano kupitia mijengo dhabiti zaidi na ulinzi dhidi ya mafuriko ulioboreshwa zaidi, pia kunaweza sababisha kupunguza matumizi ya pesa baada ya muda mrefu. |
ya |
8 |
Baada ya kupokewa kwa shangwe kabla ya sherehe ya Pasaka ya mwaka 30 (au 33 ) akakamatwa na baraza la Israeli kwa tuhuma ya kufuru ya kujilinganisha na Mungu, halafu akakabidhiwa kwa liwali wa Kirumi aliyekuwa na mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo. |
ya |
8 |
Badr, Islamic Law, 187–198 Mbinu ya kisheria ya utangulizi na kufikiria kupitia mlinganisho (Qiyas) iliyotumika katika sheria ya mapema ya Kiislamu ilifanana na na ile ya baadaye ya mfumo wa Sheria ya Kawaida ya Uingereza. |
ya |
8 |
Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ina milia minne ya kulala ya rangi buluu - nyeupe - kijani - njano inayokatwa na mlia mmoja mwekundu wa kusimama. |
ya |
8 |
Chuo cha Kikristo cha Aleksandria (au Shule ya Elimu ya Kikristo ya Aleksandria) kilikuwa taasisi ya elimu ya Kikristo wakati wa karne za kwanza BK na kati ya vyuo vya kwanza vilivyofundisha imani ya kikristo kwa namna ya kitaalamu. |
ya |
8 |
Hivyo basi yanaanza kwa Masifu ya Jioni ya kwanza ya Jumapili inayoangukia tarehe 30 Novemba au tarehe ya jirani zaidi; yanakwisha kabla ya Masifu ya Jioni ya kwanza ya Noeli. |
ya |
8 |
Imeelezwa zaidi kama ya hapo awali (chini ya mwaka wa 1 mwaka mmoja baada ya hatua ya pili ya kaswende) katika Marekani Uingerezani, masaa hizi huitwa miaka miwili ya hatua fiche ya kaswende ya mapema na iliyochelewa. |
ya |
8 |
Kabla ya ushirikiano huu, Accra Academy ilikuwa na uhusiano na Shule ya Sekondari ya wasichana ya Accra na shule ya upili ya St Marys Junior ilikuwa na uhusiano na shule ya upili ya St Thomas Aquinas. |
ya |
8 |
Katika baadhi ya maeneo ya matokeo ya heterozigoti hadi kiwango cha 10% kiliripotiwa, na mawasilono ya nguvu la kijiografia katika ya matukio ya thalassemia na malaria ya kawaida yalibainishwa, kama kumbukumbu za Kiitaliano za historia ya sayansi. |
ya |
8 |
Katika historia ya sayansi imeonekana ya kwamba miiko ya kijamii, ya kiutamaduni, ya kisiasa au ya kidini ni vikwazo kwa maendeleo ya sayansi na kwa kazi ya kuboresha elimu kwa jumla. |
ya |
8 |
Katika karne ya 19 Daraja ya Reli ya Tay ilijengwa kupitia juu ya ya bahari katikaDundee kama sehemu ya reli kuu ya pwani ya mashariki, ambayo iliunganishaAberdeen katika kaskazini na Edinburgh na hatimaye, London kusini. |
ya |
8 |
Katika nchi yenyewe ya Kanaani (yaani eneo la kati ya Mto Yordani na Bahari ya Kati ), makabila ya Israeli yalikuwa katika makundi makubwa matatu, yaani ya kaskazini, ya katikati na ya kusini, ambapo Mto Yordani ulitenga makabila ya mashariki na mengine. |
ya |
8 |
Lengo la kuasisiwa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kufikisha sauti ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa wananchi waliodhulumiwa wa bara la Afrika, kuelimisha na kufichua njama za ubeberu wa kimataifa dhidi ya bara hilo. |
ya |
8 |
Maisha ya Mwanzo Mwajuma alipata elimu ya msingi katika shule ya Mjimwema na kujiunga shule ya sekondari ya Bweni ya Iringa Girls iliyopo Iringa ; baada ya hapo alijiunga na masomo ya ukatibu mukhatasi. |
ya |
8 |
Majimaji ya limao ni asilimia 5 asidi sitriki aside ya matunda jamii ya machungwa) ambayo hulipa limao radha ya uchachu, na ph ya 2 mpaka 3, hii hufanya kujipatia aside ya gharama nafuu kwa ajili ya mafunzo ya kielimu. |
ya |
8 |
Mimba ya fumbatio ni aina ya mimba ya nje ya mji wa mtoto ambapo mimba inapachikwa ndani ya kifuko cha ngozi ya fumbatio nje ya neri ya falopu au ovari na si katika kano pana shikilizi. |
ya |
8 |
Pana baadhi ya ushahidi usio mkamilifu kuwa kiasi kidogo cha pombe kinachotumiwa katika katika miaka ya mapema ya maisha ya utu uzima huw a na kinga ya ni maisha ya baadaye dhidi ya kupungua kwa utambuzi na shida ya akili. |